We are Relaxation specialists, we facilitate the healing of soft tissue injuries and help people do deal with chronic pain through Massage.

Featured Services

relaxation-massage

Relaxation Massage

BEST BODY SCRUB SERVICE

Body Scrub

SPORTS MASSAGE

Sports Massage

Massage Tanzania

Full Body Massage

Facial Treatment

Manicure and Pedicure

Manicure and Pedicure

What our Clients Say

Kwa kweli nyie ni KIBOKO...Toka moyoni sijawahi kupata huduma ya massage kama ya jana Maishani. The BEST yaana=i nimelala kama mtoto mchanga. Mungu awazidishie.

G. HANDO

Indeed, nilienjoy kwa kweli you are the best. Na bado nawiwa kupata darasa. We complain so much juu ya maumivu na kuchoka but massage is everything kwa kweli. Big up and keep up the good work.

SHARIFA

Nawashukuru Happiness Massage kwa kazi kubwa ambayo mnafanya, nimefanya massage kwenu hakika huduma zenu ni nzuri sana na massage yenu ni tofauti sana. Endeleeni kuwapa taarifa Watanzania wengine waje kupata Massage kwenu ili waweze kupona.

YEMCO