HI HONEY

Kwa nini ni muhimu kutumia asali katika ngozi yako

Wengi tunajua kuwa asali ni chakula kitamu na tiba ya maradhi mbalimbali. Je umeshawahi kufikiria umuhimu wa asali katika ngozi yako?

Ngozi ni ogani muhimu sana katika mwili wa binadamu, inafanya kazi za mfumo wa fahamu na kukinga miili wetu dhidi ya vijududu mbalimbali ambavyo ni hatari vikiingia sehemu za ndani za mwili.

Hivyo kuhakikisha ngozi yako inabaki salama na yenye afya si hiyari bali ni lazima kama unataka kuishi kwa afya na amani.

Asali halisi ambayo haijachakachuliwa ina umuhimu mkubwa sana katika kukinga, kusafisha, kunawirisha na kurutubisha ngozi yako. 

Faida za asali katika ngozi

1.Asali unaongeza unyevu katika ngozi

2.Inasafisha matundu ya jasho

3.Inang’arisha makovu katika ngozi

4.inaondoa michirizi na mikunjo katika ngozi

5.Inapambana na chunusi na viuvimbe katika ngozi

6.Inakinga ngozi dhidi ya mionzi mikali ya jua

7.Inarutubisha na kung’arisha ngozi kiasili.

Kwa nini utumie asali? 

Asali haina kemikali ya aina yoyote na ni salama kabisa hata kwa kula. Hivyo kutumia asali ni njia pekee itakayokuhakikishia afya bora ya ngozi yako bila ya kuhofia madhara yoyote ambayo yanaweza kujitokeza kwa wanaotumia  vipodozi vingine vya ngozi.

Happiness Investment Limited imekuandalia sasali halisi ambayo ni bora kwa matumizi ya kuboresha afya ya ngozi yako. Chupa moja yenye ujazo wa Lita moja inapatikana kwa Tsh 12,000/=.tu.

Utapatiwa na maelekezo kamili ya jinsi ya kutumia asali katika kuboresha afya yako ya ngozi.

Piga simu 0715343161 kuagiza au Fika katika Ofisi zetu Lamada Hotel, Ilala Dar es Salaam

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *