lala

JINSI MASSAGE INAVYOOKOA MAISHA YAKO

Usingizi ni hali ya kimwili ambapo mtu hupumzika na kupunguza fahamu zake kwa muda hali akiwa hai. Katika kupumzika huko kazi za kimwili hupungua. Kwa kawaida binadamu (mtu mzima) anatakiwa kulala angalau masaa 7 kwa siku.

Kama mtu anapata usingizi chini ya  masaa saba basi anaweza kupara athari ndogondogo katika mwili wake.

Hatari zaidi ni kwa watu ambao hawapati kabisa usingizi au wanalala masaa mawili au matatu kwa siku.

Athari wanazoweza kupata ni pamoja na:-

  1. Kushindwa kufikiri vizuri kutokana na ubongo kuchoka kufanya kazi
  2. Uchovu wa mwili na viungo
  3. Kukosa umakini katika kufanya kazi
  4. Kushindwa kushiriki tendo la ndoa na mwenza wake
  5. Kupata simanzi au msongo wa mawazo.
  6. Hatari ya kupata magonjwa mbalimbali kiurahisi.

Nini suluhisho la Kukosa Usingizi

Kuna sababu mbalimbali za kukosa usingizi kama vile sababu za kisaikolojia, sababu za kimwili  na sababu za mazingira.

Katika hali tofautitofauti Massage imeonyesha ufanisi mkubwa katika kukabiliana na tatizo la kukosa usingizi.

Tafiti nyingi sana zilizofanywa na Mayo Clinic na WebMD zinaonyesha kuwa kufanya massage wakati wa kulala kunaupumzisha mwili na kuchochea usingizi.

Hivyo mtu ambaye anakosa usingizi kwa sababu za kimwili au msongo wa mawazo anaweza kupata usingizi mzuri baada ya kufanyiwa massage.

Karibu Happiness  Massage Tukuhudumie, Kupitia huduma zetu za massage tunatatua tatizo la kukosa usingizi kwa ufanisi kabisa.

Tunapatikana Lamada hotel, Ilala Dar es Salaam.

TUPIGIE SIMU NAMBA 0715343161   | 0756343161

Happiness Massage, Tunarejesha Furaha Yoko

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *