Happiness Massage

lala

JINSI MASSAGE INAVYOOKOA MAISHA YAKO

Usingizi ni hali ya kimwili ambapo mtu hupumzika na kupunguza fahamu zake kwa muda hali akiwa hai. Katika kupumzika huko kazi za kimwili hupungua. Kwa kawaida binadamu (mtu mzima) anatakiwa kulala angalau masaa 7 kwa siku. Kama mtu anapata usingizi chini ya  masaa saba basi anaweza kupara athari ndogondogo katika mwili wake. Hatari zaidi ni …

JINSI MASSAGE INAVYOOKOA MAISHA YAKO Read More »

KUPASUKA VISIGINO

Mipasuko katika Visigino: Sababu, Athari na Suluhisho lake

Kuwa na miguu au visigino vilivyopasuka (magaga au machacha) ni moja ya sababu inayoweza kuonyesha kuwa katika mwili wako kuna upungufu wa virutubisho kadhaa, vitamini au madini. Japo wengi wetu tumekuwa na mitazamo kwamba, visigino kupasuka ni ishara ya mtu kutojali usafi wa miguu yake, ila  leo napenda kukushirikisha mambo kadhaa kuhusu mtu kupasuka visigino. …

Mipasuko katika Visigino: Sababu, Athari na Suluhisho lake Read More »

HI HONEY

Kwa nini ni muhimu kutumia asali katika ngozi yako

Wengi tunajua kuwa asali ni chakula kitamu na tiba ya maradhi mbalimbali. Je umeshawahi kufikiria umuhimu wa asali katika ngozi yako? Ngozi ni ogani muhimu sana katika mwili wa binadamu, inafanya kazi za mfumo wa fahamu na kukinga miili wetu dhidi ya vijududu mbalimbali ambavyo ni hatari vikiingia sehemu za ndani za mwili. Hivyo kuhakikisha …

Kwa nini ni muhimu kutumia asali katika ngozi yako Read More »

Massage huondoa maumivu ya hedhi

Massage ni Suluhisho la maumivu wakati wa hedhi

Hedhi ni hali ya kimaumbile inaysojitokeza kwa wanawake waliopevuka (waliofikia balehe). Katika kipindi hiki wanawake hutokwa na kiasi cha damu kwa muda kati ya siku 3 hadi 7. Damu hutoka baada ya yai liliozalishwa kutoka katika ovari kukosa mbegu ya kiume ya kulirutubisha. Hivyo kuta za mji wa mimba ambazo ziliandaliwa kimaumbile kwa ajili ya …

Massage ni Suluhisho la maumivu wakati wa hedhi Read More »

FAIDA 11 ZQ VITUNGUU SWAUMU

Faida 11 za Kitunguu Swaumu katika Mwili

  Kitunguu swaumu ni moja ya viungo mashuhuri duniani. Ingawa wengi wanakula bila kujua kinawanufaishi vipi kiafya katika miili yao. Makala hii imekusanya faida za kitunguu swaumu katika mwili, Utastaajabu jinsi kitunguu swaumu kilivyo na faida tele katika mwili wa binadamu. Siri kubwa inayokifanya kitunguu swaumu kiwe muhimu na faida nyingi za kitabibu ni uwepo wa …

Faida 11 za Kitunguu Swaumu katika Mwili Read More »